MBUNGE WA CCM AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Rukwa (CCM), Irene Ndyamkama amefariki dunia leo Jumapili Aprili 24, 2022 katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha alikokuwa akipatiwa matibabu. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametangaza kifo cha Irene leo na kutoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, wabunge na wananchi wa Mkoa wa Rukwa. “Mwenyezi Mungu awape